Huyu jamaa anaweza asiwe kocha mzuri sana kuwazidi kina Crop, Gardiola na wengine, Lakini nadhani ana leadership nzuri inayowafanya wachezaji wawe na morali ya kushinda kila siku.Zidane yupo vizuri japo hatukumuamini.
We suffered a lot at the last season. We deserve this. HALA MADRID
Nyie dawa yenu ni pep
Subili KDB aje kuwashoww
Hilo ni ziada kwetu mcm huu piganieni nyinyi mliotoka kapa
Pep huyu huyu tuliemwamisha Bayern au mwingine?Nyie dawa yenu ni pep
Subili KDB aje kuwashoww
Hizo ndio sifa za kocha mzuri sasa mkuuHuyu jamaa anaweza asiwe kocha mzuri sana kuwazidi kina Crop, Gardiola na wengine, Lakini nadhani ana leadership nzuri inayowafanya wachezaji wawe na morali ya kushinda kila siku.



. Au unadhani uzuri wa kocha ni kufundisha tu? Ndio mana anaitwa club manager