B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,406
Tunashinda MamaMie sina matumaini kivile na ushindi leo. Naombea tutoe sare basi, tukamalizie mechi ya mwisho
Tunashinda MamaMie sina matumaini kivile na ushindi leo. Naombea tutoe sare basi, tukamalizie mechi ya mwisho
AnajuaaaMsimu huu pekee Zizou ashapiga 34 different line-ups. Ni unpredictable kwenye hili swala la kupanga timu. Jana watu walikuwa wanalia kwanini Vinincius Jr yuko benchi, kwanini kamtoa Valverde badala ya Modric. But he knows we have Manchester City to deal with.
Tunajua mwezi mchanga huu, tunakusamehe tu
Wakuu tafadhali naomba mtu mwenye LINK ya kutazamia mpira huu anisaidiepo.HERE WE GO!
BIG 90 minutes ahead.
Pamoja sana mkuu. Naomba LINK nitazamie mpira huu, nashindwa kuufuatilia kwa sababu ya kukosa link.Hii leo ninaona ushindi mapema sana...watu wapo kwenye peak ya uhitaji wa hili kombe...mapema sana kabla bar hazijafungwa tayar tumenyanyua makwapa.
Tuombe Mungu tuchukue hili kombe mkuu. Lazima tufie kiwanjani leo. Naomba LINK ya kutazamia mpira huu.Its coming homeView attachment 1508824
Nendeni mkakamilishe ratiba mrudi nyumbani.Msimu huu pekee Zizou ashapiga 34 different line-ups. Ni unpredictable kwenye hili swala la kupanga timu. Jana watu walikuwa wanalia kwanini Vinincius Jr yuko benchi, kwanini kamtoa Valverde badala ya Modric. But he knows we have Manchester City to deal with.