PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,247
- 22,127
Zizu nmemnyooshea mikono jinsi alivyo panga kikosi jana 4-3-3 ya ajabu ajabu bado tukapata matokeo positive
Msimu huu pekee Zizou ashapiga 34 different line-ups. Ni unpredictable kwenye hili swala la kupanga timu. Jana watu walikuwa wanalia kwanini Vinincius Jr yuko benchi, kwanini kamtoa Valverde badala ya Modric. But he knows we have Manchester City to deal with.

