Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ec1YEclXgAAYKa6
 
Hii timu ndio ileile ya Lopetegui na Santiago Solari iliyokuwa inapigwa bao kwasababu ya weak defense and no game plan, lakini Zidane akichukua na kuifanya iwe timu bora kabisa kwenye eneo la ulinzi.
Halafu uje hapa uniambie mafanikio aliyoyapata Zidane huko nyuma ilikuwa ni bahati tu.
 
Zizou ni habari nyingine. Mzee ana mbinu za kutosha. Wengi wanaomuengea vibaya ni maumivu tu yanawasumbua.
 
Hii timu ndio ileile ya Lopetegui na Santiago Solari iliyokuwa inapigwa bao kwasababu ya weak defense and no game plan, lakini Zidane akichukua na kuifanya iwe timu bora kabisa kwenye eneo la ulinzi.
Halafu uje hapa uniambie mafanikio aliyoyapata Zidane huko nyuma ilikuwa ni bahati tu.
Zizu nmemnyooshea mikono jinsi alivyo panga kikosi jana 4-3-3 ya ajabu ajabu bado tukapata matokeo positive
 
Back
Top Bottom