Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #44,041
I absolutely LOVE the way Vinicius points at the badge every time he scores. Kid absolutely loves this club and is determined to succeed here.
Mimi ni pweza.msikimbie uzi wenu hapo baadae!
Umeanza kuangalia mpira lini mkuu....ile own goal bana
Marcelo kwa sasa hastahili kuanza, ila don't write him off just yet. Subiria April hapo. He's been there several times before.
ile own goal bana
sheria inasema kama mpila utapigwa na utakuwa haujalenga goli yaan uelekeo wake ni tofauti na goli na kwa bahati mbaya ukamgonga mpizani wako na ukapeleka goli ndio huwa inahesabika ni own goal.Umeanza kuangalia mpira lini mkuu....
Maana watu kama nyie mlioibukia kupenda mpira enzi za akina neymar ni shidaaa😂😂
Kwani 1st leg mlicheza vibaya?Game ya leo imenifurahisha sana. Wapiga ramli kwamba RM inafungwa walikua wengi sana
Tukicheza hivi against city 2nd leg tutashinda na kupita.
Kwani 1st leg mlicheza vibaya?
The score should have been (1- 4+)We gave that game away.