Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Waarabu wana mihela ambayo haina kazi ndio maana wamekuwa host wa haya mashindano. Nasikia next year pia wata host haya mashindano
 
Kama Real Madrid watashinda leo hii, basi kuna uwezekano mkubwa wakabeba la liga na Champions league pia. Siku tukimpiga Liverpool ndio Dunia itajuwa kwamba Zidane sio mtu wa mchezomchezo
Mumpige Liver kwa forward gani?? Toka Ronaldo asepe mmekua wa kawaida sana alikua anawabeba mnoo. kiufupi UEFA mtaisikia kwenye bomba, tutarudi hapa April kukumbushana.
 
Mumpige Liver kwa forward gani?? Toka Ronaldo asepe mmekua wa kawaida sana alikua anawabeba mnoo. kiufupi UEFA mtaisikia kwenye bomba, tutarudi hapa April kukumbushana.

Kama Ronaldo ndio champions league anatakiwa abebe akiwa na Juventus. Tulivyowapiga Liverpool kwenye UEFA Ronaldo alifunga goli ngapi? Football is a team play, kama unafikiri hatuna forward, why
 
Kabla ya Ronaldo, Madrid haijawahi kubeba efa??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye recent history hakuna Era mmekua na mafanikio kuliko wakati wa Ronaldo. Toka aondoke hamna guarantee ya kumfunga vitimu kma Sociedad au Getafe!!

Real Madrid was a one man team, na hamna kombe mtabeba tena unless mmwage kama €200 M mumvute mtu calibre ya Mbappe au Neymar.
 
Kama Ronaldo ndio champions league anatakiwa abebe akiwa na Juventus. Tulivyowapiga Liverpool kwenye UEFA Ronaldo alifunga goli ngapi? Football is a team play, kama unafikiri hatuna forward, why
He played his part but Ajax was too good.
... Ronaldo alifunga goli zote za Juve knockout stages so unaweza ona aliwabeba kwa kiasi chake.

Sasa Madrid iko wazi Ronaldo alikua kila kitu kwenu sahvi hamna forward ya kuifunga timu kama Barca au Atletico. Msimu huu mmefunga goli 0 dhidi ya hizi timu katika mechi 3. Enzi za Ronaldo ingekua hivyo??

Your Era is done
 
Ni mida ya kupongezana wana madrid wenzangu ,sioni sababu ya kubishana na mtu kuhusu fulani kuhusu timu fulani, kila mmoja apambane na timu yake kutafuta ushindi. Maana ndio wale ambao walisema zidane hawezi shinda tena kikombe na madrid

Leo madrid tumecheza vizuri japokuwa mkosa madogo madogo yalikuwapo, kwangu valverde kwa alicho kifanya ni sawa ata commentator (it professional foul)

So far tujipongeze kwa kuanza mwaka vizuri
 
Back
Top Bottom