Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #43,481
Noma sana, nilipoona viungo watano tu nikajua Leo Valencia wataisoma namba, ule msako pale kati ulikuwa sio wa kitoto!! kipind cha kwanza walichanganyikiwa kabisa hawakujua hata wafanye nini!!Valencia walijiandaa kudefend mwanzo mwisho, kama vile walitegemea Vinincius Jr, Rodrygo na Jovic kwenye attack. Genius Zidane kaingia na unpredictable line up. Wakawa wanafukuza mpira kwa dakika 90
Noma sana, nilipoona viungo watano tu nikajua Leo Valencia wataisoma namba, ule msako pale kati ulikuwa sio wa kitoto!! kipind cha kwanza walichanganyikiwa kabisa hawakujua hata wafanye nini!!
Ngoja kwanza tusubiri tuone ni nani atakayetoboa Leo!!
Hahaha, Atletico wa hovyo sana man, yaani Barca huwa anawapiga nje ndani bila shida yoyote, ninaona wanatukomalia sana kwasababu tupo nao mtaa mmoja.Atletico linapokuja swala la wakatalani wanakuwaga walaini, ngoja sasa wacheze na sisi, wanatukomalia kama hakuna mechi yoyote Duniani. Anyway, mi nawataka Hawahawa wakatalani. Last time Ter Stegen kawaokoa, sasa hivi hayupo lazima tuwalalie 3 kama Valencia.
Hahaha, Atletico wa hovyo sana man, yaani Barca huwa anawapiga nje ndani bila shida yoyote, ninaona wanatukomalia sana kwasababu tupo nao mtaa mmoja.
Yoyote atayekuja ni poa tu, ninachojua tunaenda kubeba kikombe cha kwanza!!
Game itakuwa ngumu kimtindo sababu wale wajamaa kwa kutupania hawajambo, jambo la muhimu ni wachezaji wetu kuwa makini dakika za mwanzo sababu huwa wanapenda kupania sana dakika 20 za mwanzo.
Game itakuwa ngumu kimtindo sababu wale wajamaa kwa kutupania hawajambo, jambo la muhimu ni wachezaji wetu kuwa makini dakika za mwanzo sababu huwa wanapenda kupania sana dakika 20 za mwanzo.
Kama vp Zidane arudishe mfumo wa juzi ila pale mbele asimame Mariano.

Kama Real Madrid watashinda leo hii, basi kuna uwezekano mkubwa wakabeba la liga na Champions league pia. Siku tukimpiga Liverpool ndio Dunia itajuwa kwamba Zidane sio mtu wa mchezomchezo
Naungana na wewe timu imeanza kukaa sawa sasa hiviKama Real Madrid watashinda leo hii, basi kuna uwezekano mkubwa wakabeba la liga na Champions league pia. Siku tukimpiga Liverpool ndio Dunia itajuwa kwamba Zidane sio mtu wa mchezomchezo