Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Barcelona XI: Ter Stegen; Semedo, Piqué, Lenglet, Alba; Sergi Roberto, Rakitic, De Jong; Messi, Suárez, Griezmann.

Subs: Neto, Busquets, Aleña, Vidal, Umtiti, Carles Pérez, Ansu Fati.

Real Madrid XI: Courtois, Carvajal, Ramos, Varane, Mendy, Casemiro, Kroos, Valverde, Isco, Bale, Benzema

Subs: Areola, Militão, Nacho, Modric, Jovic, Rodrygo, Vinicius Jr.
 
That was a clear penalty by Rakitic to Varäne. Sijui hii VAR ipo kwa ajili ya nini?
 
HT:So far tumecheza vizuri,tunapanda vizuri na tunarudi kukaba vizuri..Isco yupo kwenye vzr sanjali na viungo wengine..tumefanikiwa kuwapa stress vyema hadi Pique hapandi,ndio amekuwa nguzo yao leo..tukiendelea namna hii tutafanya vyema kwenye hii game..

Benzema kuna nyakat anapooza mpira sana akiwa kwenye boksi lao,nafikiri ni kwa sababu bale nae anachelewa kufika..

Tuendelea na hizi counter and one touch tutafanya vyema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very solid display from our players.., inahitajika umakini kidogo tu kwenye final third tumalize hii game, once again Valverde anafanya vile anafanyaga siku zote!! huyu dogo ni shida kwa kweli.
 
11 chances lakini hakuna mtu wa kuweka mpira kimiani. Hata hivyo Ter Stegen kawabeba sana dakika hizi 45
 
performance is so good, tatzo lipo kwenye final 3rd umakin unapotea then kuna cros znakua hazna faida yoyote esp upande wa mendy...hawa wetu tu lazma wakae

halla madrid

地那天刚才妇产科☆
 
11 chances lakini hakuna mtu wa kuweka mpira kimiani. Hata hivyo Ter Stegen kawabeba sana dakika hizi 45
Utulivu unahitajika sana, vijana wanafanya haraka.mpaka kwenye box la wajamaa., Pia Mendy bado hajapiga mipira ya mwisho inayoleweka., Tunahitaji kila mmoja kuwa katika ubora wake na kutimiza majukum yake vyema .
 
Haya wandugu...mtaikumbuka hii post....,mnaenda kufaaaaa hiki kipindi cha pili
 
Tunajulikana hatuna mshambuliaji mwenye umakini mkubwa...benzema wetu ili afunge goli moja anahitaji kukosa goli 9 za wazi kwanza...nafikiri viungo waendelee kupiga nakujaribu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa inabidi kutoa Isco aje Modric aondoke Bale aje Rodrygo
 
Back
Top Bottom