Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Substitution Update!

Real Madrid used their second Substitution, Karim Benzema came in for Luka Jovic.
 
Substitution Update!

Madrid used their last substitution as Fede Valverde came in for Isco Alarcon.
 
Job done in Bruges!


ELiaQa9XYAMMkpv
 
Kwa hizo possible za round of 16 mbona kama twafaaaaaa au ni wasiwasi wangu wakuu
Hukuna haja ya kuwa na wasi wasi wowote!! Ili uwe bingwa ni lazima ukutane na team bora na uzishinde, wote ambao tunaotarajia kukutananao, hakuna team ngeni kwetu!! Suala la msingi ni team icheze vizur tu. Hizo team unaozihofia na wenyewe wanatuhofia pia. HalaMadrid!!
 
Hii ni kama sheria Barca akitoa sare na madrid anafanya hivyohivyo
 
Daah inauma sana pale tunajua kabisa Mwaka huu hatuchukui league wala uefa
 
Back
Top Bottom