Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,089
- 5,161
Mbona unakata tamaa mapema hivyo man, ndio kwanza tupo game ya 17, bado safari ni ndefu sana.Daah inauma sana pale tunajua kabisa Mwaka huu hatuchukui league wala uefa
Ninachoamini ni kuwa msimu huu ni lazima tubebe kikombe.