Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid 2019/2020 Top Goalscorers

1. Benzema (15)
2. Rodrygo (5)
3. Ramos (5)
4. Kroos (3)
5. Valverde (2)
6. Gareth Bale (2)
7. Casemiro (2)
8. Modric (2)
9. James Rodriguez (1)
10. Hazard (1)
11. Vazquez (1)
12. Vinicius Jr (1)
13. Jovic (1)
14. Carvajal (1)
15. Varane (1)
 
Point 3 muhimu, japokuwa team haijacheza vizur, Mendy bado sana, hana tofauti na mwenzie Vinicius Jr, pass za mwisho kwao bado ni shida ama wakifika ndani ya 18 hawajui nini cha kufanya!!


Mendy atasaidia tu hivyohivyo, maana kupata wachezaji kama Marcelo inatokeaga tu. Inasikitisha sana kuona umri unamtupa mkono na ndio sababu injuries zinamuandama.
 
Mendy atasaidia tu hivyohivyo, maana kupata wachezaji kama Marcelo inatokeaga tu. Inasikitisha sana kuona umri unamtupa mkono na ndio sababu injuries zinamuandama.
Yaani kwa Mendy ninaona kama club ilifanya kosa kama la kumtoa Hakimi kwa mkopo na kumnunua Ordiozola, sijaona tofauti kubwa kati yake na Reguillon, labda physic tu!! Ngoja tuendelee kuvuta subira labda atabadilika huko.mbeleni
 
Official Real Madrid XI 🆚 Club Brugge

🧤 Areola

🛡️ Odriozola, Varane, Militão, Mendy.

💠 Casemiro, Modrić, Isco.

🚀 Rodrygo, Vinícius Júnior, Jović.


Bench: Courtois, Carvajal, Nacho, Valverde, Brahim, Bale, Benzema.
#HalaMadrid
 
ELhxbKTW4AE1Kgc
 
Official Real Madrid XI 🆚 Club Brugge

🧤 Areola

🛡 Odriozola, Varane, Militão, Mendy.

💠 Casemiro, Modrić, Isco.

🚀 Rodrygo, Vinícius Júnior, Jović.


Bench: Courtois, Carvajal, Nacho, Valverde, Brahim, Bale, Benzema.
#HalaMadrid


Naona Zidane anatest mitambo.
 
Wakuu Leo nitategemea sana updates kutoka kwenu, Leo sitoweza kuangalia game.yetu.
#HalaMadrid
 
Hawa jamaa inabidi wapigwe kabla ya mapumziko, naona wanapewa full support hapa uwanjani kwao.
 
Back
Top Bottom