Ninaona ilikuwa bahati mbaya tu, kijana hakuamwangalia golikipa wake, ndio hivyo kwenye mpira makosa ndio yanakuadhibu!!Again the difense let us down.
Sio Zidane alikosea, ila Management ndio ilikosea kumsajili Courtios na wakati huo huo wamemsajili long replacement ya Navas in Adry Lunin. Ninadhan ilikuwa busara kumwacha Navas aendelee kuwa golini huku tukmpika Lunin achukue mikoba yake ila tukaenda kusajili golikipa ambaye anakaribiana uwezo na Navas., matokeo yake zikaanza zile debate kama kipnd tumemnunua Navas wakati huo huo Iker Casillas alikuwepo., so kuondoka kwa Navas kwangu niliona ni sahihi baada ya kuona hatopata muda wa kucheza game nyingi, na Zidane hakuwa tayari kuulizwa swali hilo hilo kila siku kuwa ni golikipa yupi anatakiwa kuanza!!Zidane alikosea kukubali Navas aondoke na kubakisha hili jitu
Zidane alikosea kukubali Navas aondoke na kubakisha hili jitu
Vyote hivyo ni visingizio, wachambuzi wengi wanasubiri kuona Zidane atafanya nini bila Ronaldo, sababu wanaamini kuwa team ndio iliyokuwa inambeba na sio uwezo wake. Kwahiyo Zidane ana kazi ya kuthihirisha kuwa ni kocha bora na sio kwamba ana bebwa na team.

Kuna raia hawaelewi hilo suala, na kwa vile hakuna haja ya kulumbana basi tunaacha muda utufundishe..,,Real Madrid ilikuwepo kabla ya Ronaldo na itakuwepo baada ya Ronaldo
Je Ronaldo nae anafanya nini?
[/QUOTE
Hata sijui Mkuu, sijachek game za team yake kwa kipnd kirefu kidogo.