Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #43,161
It's a frustrating goalless draw.
Real Madrid 0-0 Real Betis
Real Madrid 0-0 Real Betis
Huyu Vinicius bado ana utoto mwingi sana, hajifunzi tu bado, mwenzie sasa hiv anamweka bench sababu ya utoto wake,
Acha kabisa man, Dogo anadhani kila muda anafanya marinara, anashida kubwa sana kwenye kupiga pass za mwisho pamoja na kuona lango sawa sawa, sioni ajabu Rodrygo kumweka bench,Huyu mtoto hua simuelewi kabisa
tukalale sasa 

️
18years Old - Rodrygo has become the youngest ever Brazilian goalscorer in Champions League history. Smooth.
#UCL #RMAGS
Huyu RODRYGO ni mtu huyu...huyu mtoto anajitahidi sana anjua goli lilipo...yule Jr ana mambo mengi ambayo hayasaidii timu hata yeye hayamsaidii...ni machachari ila siyo hatari..huyu Rod ni balaa