So far team inajitahidi kutengeneza nafasi za kufunga ila golikipa wa Betis amekuwa na bahati ya kukutana na mpira, hope this time ataokota mpira kambani,
Mendy amekosaje pale aisee, tunahitaji goli sana muda huu, ikifika dakika za 80 vijana huwa wanapanic na wajamaa wanaweza kutumia mwanya huo kutuadhibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.