Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Leo vijana wameamka vizur, Sio kwa Kandanda hii wanayopiga Leo, tukiendelea na performance hizi za hivi karibuni sitoshangaa tukasepa na La liga msimu huu, japokuwa tulianza kwa kusua sua sanaThis is great football from Real Madrid!