Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Kosovare Asslani is officially the first Galactica. Welcome to Real Madrid.
11 hours to our first game of the pre-season. Finally.
Kesho ni Jumapili, game tutaangalia mpaka alfajiri hakuna noma.
Mwenyewe nitapata faraja nikiona tena vijana wakikipiga, msimu uliopita ulikuwa wa shida sana kwa sie wengine.Hata ingekuwa siku gani, ningeiangalia tu. It's been a while tangu niwatizame wana.
Mwenyewe nitapata faraja nikiona tena vijana wakikipiga, msimu uliopita ulikuwa wa shida sana kwa sie wengine.
Msiache kutupia link muda ukifika Wazee