Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Haya ni majaribio tu, ndio kwanza game ya kwanza plus kuna ugeni so sio rahisi team ku link up mapema khivyo, ngoja tuone game ya pili vijana watakuwa wameimarika vipi!,
There is no excuse bro, Team ipo weak sn Zidane ameshndwa kuilink Team, km tunafungwa 3 na wachovu km bayern nn ktatokea tukikutana na best ones
Nilichokiona kwnye game ya bayern Team bdo ipo vile vile ilvyokua last season Beki znakaba kwa macho, poor marking, most of times they defend out of position, we havent good finisher, the bad thng hatuna holding midfielder apart casemiro

Squard ipo vzuri tatzo ni kocha na bench lake, makosa ya msimu uliopta naona yanaanza kujirudia tena
 
Last pre-season we were on fire, zikaja mechi Kweli tukaanza kupoteza mapema tu. Zidane knows what he's doing. Let's see next game, I still have a faith in this team
 
IMG_20190721_114412_393.JPG
 
Nimeangalia game ya preseason kati yetu na Bayern, nilichokiona timu inacheza vizuri hasa ukizingatia kuwa ilikuwa game ya kwanza, ila We need to get rid of Benzema, jamaa anapoteza nafasi nyingi sana aisee, tunahitaji MTU ambaye ana uchungu na kupata magoli. Bila hivyo msimu wetu utakuwa mgumu kama wa mwaka Jana.
 
Nimecheza je mkuu??

Nimecheza dk ngap?
 
Nimeangalia game ya preseason kati yetu na Bayern, nilichokiona timu inacheza vizuri hasa ukizingatia kuwa ilikuwa game ya kwanza, ila We need to get rid of Benzema, jamaa anapoteza nafasi nyingi sana aisee, tunahitaji MTU ambaye ana uchungu na kupata magoli. Bila hivyo msimu wetu utakuwa mgumu kama wa mwaka Jana.
That is problem, instead to find clinical finisher tupo bize na pogba..Mtu ambae sion km hataongeza ktu chochote kwnye team

Team haina back up ya kiungo mkabaji, viungo wachezeshaj wpo kama 8 then tunaongeza mwngne dah!
 
Nikukumbushe tu, game kama hizi hizi tulikutana na Man U akatupiga vizuri tu. Baada ya muda tukaanza nao UEFA super cup, wanajua walichokutana nacho.

Kwangu mimi nilichokua naangalia ni namna team inatengeneza nafasi. Marekebisho upande wa defence and we are good to go.
There is no excuse bro, Team ipo weak sn Zidane ameshndwa kuilink Team, km tunafungwa 3 na wachovu km bayern nn ktatokea tukikutana na best ones
Nilichokiona kwnye game ya bayern Team bdo ipo vile vile ilvyokua last season Beki znakaba kwa macho, poor marking, most of times they defend out of position, we havent good finisher, the bad thng hatuna holding midfielder apart casemiro

Squard ipo vzuri tatzo ni kocha na bench lake, makosa ya msimu uliopta naona yanaanza kujirudia tena
 
There is no excuse bro, Team ipo weak sn Zidane ameshndwa kuilink Team, km tunafungwa 3 na wachovu km bayern nn ktatokea tukikutana na best ones
Nilichokiona kwnye game ya bayern Team bdo ipo vile vile ilvyokua last season Beki znakaba kwa macho, poor marking, most of times they defend out of position, we havent good finisher, the bad thng hatuna holding midfielder apart casemiro

Squard ipo vzuri tatzo ni kocha na bench lake, makosa ya msimu uliopta naona yanaanza kujirudia tena
Bayern ni wachovu kweli???

Au kwa kuwa wamefungwa na Arsenal???

Punguz Ujazband
 
Gareth Bale will finally be leaving the club. Should've happened long time, but it's alright. Gracias Gaz, adios Gaz.
 
Last pre-season we were on fire, zikaja mechi Kweli tukaanza kupoteza mapema tu. Zidane knows what he's doing. Let's see next game, I still have a faith in this team

Pre-season ni kwa ajili ya fitness, sio results. Tulipoteza games zote za pre-season, ila msimu ulivyoisha tukaibuka na La Liga na Champions League. Wanapagawa ni wageni.
 
Poor Bale zamu yake ya kutimuliwa kama kikojozi ugenini imefika

#whonext
 
Back
Top Bottom