Hawa ajax wanabore sasa naona wanaanza kupaki bus,watasababisha wafungwe bure.
Tunahangaika na come waamuzi wanafanya makosa yanayosababisha goli la 3.
Leo nina rahaaaaaaaaaa sana.
WADAU wa REAL wamejificha, hawataki hata kuja kuwapongeza AJAX
Ila haiwezi kwenda bernabeu, La Liga misimu ya karibuni imekuwa ikienda Barca zaidi kuliko timu yoyote.La liga is not decided yet
1.Dortmund out
2.Madrid out
3.man utd out
4.juventus out
5.Porto out
6.lyon out
Dont forget
Barcelona out
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pambania hali yako..
Tulia kama unanyolewa uone Treble
Sent using Unknown device
You can say it again...Dont forget
Barcelona out