Asensio ndio right player to lead madrid attack,Sijui tatizo lako ni nini. Uvumilivu ni muhimu hamana alieanza tu akafanya mambo makubwa. Hata huyo Ranaldo hakuanza na speed aliomalizia.
Mkuu zimefikaaaaaaa....Barcelona piga 5 hawa
Hahahaha wakina Benzema na Bale watakuwa wamejichezea tu...Hadi sa hv hatujajua tunatumia mfumo gani....plus timu haina morali...
Nilisema kuwa kwasasa wacha niweke reserve ya kauli ila kwa kilichotokea leo kwenye clasico wacha nitoe NENO...Kwa ufupi tulioona mwenendo wa timu tulikuwa tunakuchora tuu kwa namna ulivyokuwa unatumia nguvu kubwa sana kuupindisha ukweli na ndio maana sikujaribu kureply comment yako ata moja uliyoniquote, SASA NAMIMI LEO NAKUQUOTE...Ebu njoo hapa utetee upuuzi wako hadi tukuelewe sasa.
Bro ulichokisema ni sahh kabisa,sina cha kuongezaReal madrid anapocheza na barca mchezo unaompa mafanikio ni direct attack na mipira mirefu. Sio madrid tuu hata timu yoyote inapopata ushindi dhid ya barca hucheza mchezo wa aina hiyo. Hapa madrid ilipofika ni mbegu aliyoipanda papa perez. Madrid ilihitaji kusajili wachezaji wenye class za juu kama HARRY KANE, MBAPE, ERRICKSEN ili kuwapa hawa akina benzema na bale changamoto. Na kikubwa zaidi aina ya mchezo wa huyu kocha sasa inatosha aje GUTI JOSE MARIA AU KONTE yy alipoifikisha madrid inatosha
😛😛😛😛Jirani nilikwambia aisee brother luka maduara alishajiandaa kisaikolojia maana kuna muda nilikuwa namtafuta wakati dogo arthur anagawa chakula kumbe kajificha yani kawanawisha mikono halafu akawa anafanya sergio yule mupe,rakitic huyo mupe huku huyo kroos muruke ameshikilia jungu la msosi...casemiro kalizimisha sana kutaka nae awe muandazi lakini mambo yakawa sio mambo dogo kafanya unyangindo mbele ya mademu zenu
Hapa ndo home,Nipo madrid na kwa CR7 ila sio juve
Naomba matokeo ya leoHii game ni ya Värane, Ramos na Casemiro, Atleti wanategemea counter attack kama walivyotufunga game ya kufungua season. Ukizingatia Sevilla last week wametutandika kwa mtindo huohuo, inabidi beki wafanye kujipanga vizuri leo