Hakuna namna sasa mkuu. Bila hivyo mtaendelea kupigwa tu..Mmmmh acha hizo. Mastaa wote ndani ya madrid wamemkataa conte
Hakuna namna sasa mkuu. Bila hivyo mtaendelea kupigwa tu..
Benzema anakua ni mfungaji bora #4 wa muda wa Uefa baada ya Messi na Ronaldo kwa wachezaji wa era hiiView attachment 908650