lini Madrid walicheza michezo mitano bila ushindi ?Tuwe wakwali CR7 hakwepeki mbona ukweli huu unapindishwa
ukwli huutaki weye mkuu. kafatilie msimamo wa ligi ya mwaka jana ilivyokua.
lini Madrid walicheza michezo mitano bila ushindi ?Tuwe wakwali CR7 hakwepeki mbona ukweli huu unapindishwa
Hapa ndio uliharibu kabisa post yako!!.... Yaani mechi zote hizo bila goli hadi mmevunja rekodi yenu ya ukame mrefu zaidi katika historia ya klabu alafu unasema tatizo sio forward zenu ila beki?? Hvi kwa magoli yote mnayokosa utalaumu beki zenu??
Real Madrid was poor last season too. Winning UCL just masked what had been a dissapointing campaign. I don't understand why we forget so easy. A time like this fans were calling for Zidane to be sacked. Cristiano unfairly were compared to Paulinho.
Any wise player wouldn't stay at Real Madrid this season after so much success in previous 4 years. It's normal in football to dip after achieving a lot.
I knew Zidane wouldn't stay too. He couldn't handle the preasure anymore
sasa mbona una ongea yale yale kwamba wkt CR7 ana goal 4 tulikua na hali mbaya baada ya kuanza kufunga tuka rudi kwenye track, tuwe wakweli bila kufanya replcement ya uhakika ya Ronaldo tutapta tabu
Julen Lopetegui hana kosa pale Santiago Bernabeu.. Real Madrid inamiliki na kucheza mpira...
Kosa la Real Madrid ni kuuza Lamborghin na kununua Vitz old model.. Mtu anayekupa magoli 50+ kwa msimu anaondoka unamleta Mariano ambae hajawahi kufikia hata nusu ya magoli ya Ronaldo.. Pengo la Ronaldo linaonekana, mabeki wa timu pinzani wanarelax maana hamna mtu wa kutishia kwenye safu ya ushambuliaji..
Huyu dos.2020 sio mzima kichwani.
Huyu leptugui hafiki leo jion atakuwa ameshapgwa chini
Dhambi ya usaliti haiwezi kumwacha salama