kuna watu wanabisha hiki kituKosa kubwa alilofanya Perez ni kumuondoa mapema Cr7 wakati replacement hakuna. Madrid imekosa kabisa kujiamini ...
Cr7 alikuwa ni kama motivation kwa wachezaji wenzie, makosa mengi ya mtu kama Marcelo yalikuwa cleared na Cr7
Sasa ni kipigo tu hakuna na hakuna namna.
Juve kufanya nn? inahitaji elimu gan kujua kma pengo ka Ronaldo tulilifanyia mzaha? au ukiwa shabiki unapoteza uwezo wa ku reason?
Kosa kubwa alilofanya Perez ni kumuondoa mapema Cr7 wakati replacement hakuna. Madrid imekosa kabisa kujiamini ...
Cr7 alikuwa ni kama motivation kwa wachezaji wenzie, makosa mengi ya mtu kama Marcelo yalikuwa cleared na Cr7
Sasa ni kipigo tu hakuna na hakuna namna.
Ni ngumu sana kufundisha hizi timu with too much expectations, Zidane hii preasure ilimshinda akaamua kujiondoa. Ukikubali kuwa kocha wa timu hizi kuna mambo mawili yanakusubiri, triumph au kuharibu CV yako.
Kila siku tushinde sisi tu jaman....? How can The team play without spirit win?
Ile kocha flekelea mbaali, ile Perez isishinde tena new election!
Huwezi uza Ronaldo ununue vicinius Jr au Mariano!
ilifanya vibaya for how long? impact yake na hii sasa zipo sawa?Hebu twambie mwaka jana wakati timu ilipokua ikifanya vibaya je kulikua na pengo la nani? Huyo Ronaldo hakuwemo ?
ilifanya vibaya for how long? impact yake na hii sasa zipo sawa?
Unaizungumza Real Madrid kama vile West ham.
Ronaldo au Ramos anaeclear makosa ya Marcello?
sasa mbona una ongea yale yale kwamba wkt CR7 ana goal 4 tulikua na hali mbaya baada ya kuanza kufunga tuka rudi kwenye track, tuwe wakweli bila kufanya replcement ya uhakika ya Ronaldo tutapta tabuUnapoteza kumbukumbu mapema sana. Umesahau kama Real Iliachwa na Barca karibu point 20 nyuma wakati league inaendelea? Real ilkua nafasi ya 6 na ya 7 kwa mda mrefu sana umesahau?
Ronaldo mpaka December inainfia ana goli 4 tu za ligi umesahau?
TImu ilivuranda makundini champion league sambamba na kunyanyaswa na spurs na kuishia kupapatua nafasi ya pili kundini pia ulisahau?
KIpigo cha aibu cha Copa de la rey nakutolewa na kibonde umesahau?
sasa mbona una ongea yale yale kwamba wkt CR7 ana goal 4 tulikua na hali mbaya baada ya kuanza kufunga tuka rudi kwenye track, tuwe wakweli bila kufanya replcement ya uhakika ya Ronaldo tutapta tabu
Timu imechukua club bingwa Ulaya (uefa) unasema imefanya vibaya.be seriousHebu twambie mwaka jana wakati timu ilipokua ikifanya vibaya je kulikua na pengo la nani? Huyo Ronaldo hakuwemo ?
Timu imechukua club bingwa Ulaya (uefa) unasema imefanya vibaya.be serious
Huyu dos.2020 sio mzima kichwani.
kumbe ndo maana ana umamaNi ID(fekero) ya mtu humu hio,fatilia utamfahamu. Jamaa huwa anapinic sana kila akitajwa CR7