Maneno yenu hayatuumizi ndugu! Kuna kufungwa na kushinda ktk mpira ndugu, so kuishutumu Madrid ooh Mara eti inabebwa sijui inabatisha Yaan maneno hayaishiKuna patience ila sio kwa striker kama benzema na mariano eti ndio wawape makombe!! Come on mahn u can't be serious......