Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Best goalkeeper in Europe : Keylor Navas

Best goalkeeper in the world: Thibaut Courtois

FIFPro XI goalkeeper: David De Gea

FIFA LOGIC
1f602.png


42438151_2198591986832216_5071946383292891136_n.jpg
Jamani haya matuzo yaendelee kutawanywa ili kila mmoja ashiriki wote wanafanya vizuri maana yake ukitaka goli kipa wa kudaka uefa chukua navas, ukiwa na team ya taifa chukua Thibaut, na ukiambiwa unda team ya haraka utamchukua david, ni Kama unaambiwa naunda kikosi bora majina mawili umepewa hazard na Salah kocha mzoefu atachukua hazard class permanent ,same kwa viungo chagua namba sita club/taifa akili ya kocha bora itamwambia kante, Ronaldo, Messi, varane, luka, Marcelo nafasi zao unquestionable
 
THE FIFA WORLD 11!

Notably, The BEST Goalkeeper of the year Thibaut Courtois isn’t in the Worlds best 11
1f602.png


Laugh reacts only for David De Gea

42443903_2198585800166168_6939303953486053376_n.jpg
Mkuu ni nafuu hapo kwa De Gea unawezahata kumfikiria, hivi huyo Dani Alves anaotoa nin hapo, sikuwaelewa kabisa hapo hao wajamaa,hata kama waliogopa kuwa beki line nyote ingetawaliwa na kikosi cha Real Madrid kwa kumweka hapo Dani Carvajal wangeweka beki mwingine yoyote.., Sikuelewa hapo walipatwa na nini.
 
Subs: Keylor Navas, Mariano, Vinicius Jr, Dani Ceballos, Lucas Vazquez, Marcos Llorente, Jesús Vallejo.
 
Commentator anakwambia Madrid are on their kneels

Wakuu hii game tumeshakufa ,kikubwa leo tukamilishe mechi watatupiga nyingi hawa
 
Back
Top Bottom