eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Siku hizi mnashinda kwa taaabu sana
Ila point tatu muhimu
Ila point tatu muhimu
Hawa Espanyol wameniangusha sana ..nilitegemea leo Madrid hatachomoka ..ila wee don't care, sisi watoto wa Catalonia tunaendelea kuchanja mbuga.
#Messi_isKing
Achana na uo utoto...mwaka huu Europa itawahusu.Huo shabiki wa kitoto
Achana na uo utoto...mwaka huu Europa itawahusu.
Na ni bora muwe bize na world classy team maana huko kwenu hakuna jipya mnalolipataKwa mpira wa leo Madirid bila mutu kama Cr7 mutateseka sana. Yani timu haina konfidensi kabisa, mbele imepoteza muelekeo. Messi atawanyoosha msimu huu na misimu inayofuata.
Mbona hukuja na hii comment siku tuliyoshinda nne?Siku hizi mnashinda kwa taaabu sana
Ila point tatu muhimu
Messi alimpigia Modric anatambua ubora wakeThe Best | Captains’ votes