Odriazola leo anaanza leo. Usajili wa Lopetegui ni tofauti na mategemeo ya watu, wengi waliamini Perez angevunja rekodi ya mamilioni kumbe alichofanya ni kutengeneza timu iliyo stable, mfano ni huu, Carvajal kaumia lakini no worries
Ila toka ligi inaanza mpka asaivi kuna mabadiliko makubwa sana kwenye kikosi timu inacheza kwa umoja tofauti sana na misimu ya nyuma..i hope leo tutatoka na ushindi mkubwa pale home
Navas mbona anawekwa bench?Real Madrid XI: Courtois, Odriozola, Varane, Ramos, Nacho, Casemiro, Ceballos, Modric, Isco, Asensio, Benzema
Subs: Keylor Navas; Marcelo, Llorente, Fede Valverde, Lucas Vázquez, Mariano, Bale
Navas mbona anawekwa bench?
Navas katupa uefa 4,leo amekuwa galasa,?,hapo Perez alizingua
Mkuu upo serious kweli unamtoa cabbelos aingie bale. Sub yako umefikiria mara mbili kweliHT:So far tumecheza vzr....japokuwa huu upande wa Nacho ndo naona pana udhaifu...akipanda anachelewa kurudi na ndio jamaa wanapitia sana....kule mbele bado hatujaweka mipango mizuri yakuliona lango...kiungo tumekishika vyema...nafikiri atoke Ceballos aingie balle...huyu Isco arudi kati...