HAKUNAMATATA
JF-Expert Member
- Jun 29, 2017
- 1,006
- 2,289
Ronaldo kazidi ubinafsi.
Perez aangalie uwezekano wa kuuzwa tu
Perez aangalie uwezekano wa kuuzwa tu
Msimu huu zidane atasajili.Dah! Naona zama za kutamba zinaishia ukingoni kwani kikosi kinazeeka na vijana mpaka waive itachukua muda. Tujiandae kisaikolojia!!! Ukiwa unaiangalia timu kwa jicho la tatu utaelewa namaanisha nini.
AnaondokaRonaldo kama anaondoka ni jambo zuri ila huu haukuwa mufa wa kutuambia ana ondoka.
He should just celebrate we kno he didnt have a good game

Aende tunathamini sana mchango wake kwa club na tutamkumbuka kama Legend..Ronaldo anasema anaondoka LOL
Let him Mimi namkubali Marcelo sanaaAende tunathamini sana mchango wake kwa club na tutamkumbuka kama Legend..
Naona ameanza kutingisha kiberiti
Watamuua bure Zidane wetuNasikia
postmatch interview
Zidane anasema na Mwakani anabeba Uefa tena
atakuwa anataka kuwa kwenye spotlight. jamaa ana drama sana. watu waache kuzungumzia ushindi wamuongelee yeye.Ronaldo kama anaondoka ni jambo zuri ila huu haukuwa mufa wa kutuambia ana ondoka.
He should just celebrate we kno he didnt have a good game