Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,093
Washalalaa mdaaasasa wale vibwango wa Liver waliokuwa wanakuja kutuzonga kwenye izi wetu wanapita mbali sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Washalalaa mdaaasasa wale vibwango wa Liver waliokuwa wanakuja kutuzonga kwenye izi wetu wanapita mbali sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahaLike thisView attachment 787132
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umefurahi sana Leo ujue!!!kama Mimi
Whoever question Zizou,his mentality is lower!Zinedine Zidane has won a trophy on average every 16.5 games as manager of Real Madrid C.F.
And yet people have the audacity to question his tactics and coaching.
Labda vingine not UEFATimu pekee zinazomzidi au Kulingana vikombe na Cristiano Ronaldo,CR7
Barcelona
Liverpool
Madrid kubwa
AC Milan
United
Wengine wote wamezidiwa
Vibaya mno!I'm supa happy!!!Hahaha
Ramos kakera bara Arab lootee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] washukuru kesho j2 wangejutaaaq[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi Madrid ikifungwa nakuwaga na hali mbaya
Hapa nawasubiri wabaya wangu nionane nao monday naona mbali yaan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] washukuru kesho j2 wangejutaaaq
Wanasema refa kapendelea haiwezekani mpira wa kupiga kichwa mtu aruke na miguu bale alitakiwa apewe kadi ya njano tuwaonee huruma mashabik wa liverpool wamepagawa.Bicycle kick ya left mmmmmh
Wanamlaumu kipa bure, walitaka kipa afe leo