Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #37,381
WAGS
Jaman parade ina anza saa ngap?
Haya najua ikianza na wewe utanistua hapa mkubwaMkuu kwa mujibu wa Real Madrid TV ratiba iko hivi:
14:20 - Especial [HASHTAG]#CHAMP13NS[/HASHTAG] (Directo)
18:00 - Especial [HASHTAG]#CHAMP13NS[/HASHTAG]. Visitas a la catedral de La Almudena, a la Comunidad y al Ayuntamiento de Madrid (Directo)
20:00 - Especial [HASHTAG]#CHAMP13NS[/HASHTAG]. Celebración en Cibeles (Directo)
Mwandishi wa hii habari anatakiwa arudi darasani, watu wote tumesoma ujumbe wa Ramos. Hakuna alopoomba msamaha, bali amempa pole. Pia amekanusha kwamba alikusudia kumuumiza Salah. Hawa waandishi makanjanja wanaungaunga stories tu
Kwani mwizi angekubali wizi wake. Ngoja tuone, lakini crystal clear jana Ramos alifanya makusudi au uzembe wa hali ya juu kuuhatamia mkono wa 10 mpaka wakaulalia wote wawili. Fuatilia clip uone
Haya najua ikianza na wewe utanistua hapa mkubwa
AnhaaaMkuu, Real Madrid TV inaonyesha live bus lililobeba wachezaji kuelekea Ayutamiento (City Hall). Natamani ningekuwa Madrid leo, yaani jiji alitoshi, Fiesta Fiesta Fiesta!