Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Nawakubali WASAFI lakini jana ilikuwa mbeleko la CHUMA,ila allegri kidume jana alikuwa anafanikiwa kugeuza matokeo kwa mara ya pili lkn refa akawanyonga mwishoni
 
Kwani kilichoathiri ni kadi au penalt? Kinacholeta gumzo juu ya mechi hiyo sio kadi bali ni kitendo cha mwamuzi kuwapa madrid penati katika mazingira yale. Hilo ndilo linalozungumzwa
Mazingira gani?mazingira ya penat yalikuwa sahihi sababu ni ndani ya 18,na kaa ujue penat haiangalii muda ....tatizo mumezoea mechi zenu za uswahilini refa hatoi penat dkk za mwisho ile ni pro football sio sodo/chandimu za kwenu mwananyamala ukiweka tuta dkk km hizo mechi inavunjika kwa vurugu
 
Mnaolalamikia penalti, walaumuni Juve kuruhusu washambuliaji wa Real kuvuka mstari wa 18. Beki ya juve ingekuwa imara, ingehakikisha mpira haufiki kwa eneo lao la 18, hivyo hata Vazquez angedondoshwa, ingekuwa ingekuwa nje ya 18. Penalti imesababishwa na Juve wenyewe, fullstop.
 
Absolutely!!
 
Hivi Ronaldo alionyeshwa kadi ya njano au lah baada ya kuvua jezi?


Maana sikufanikiwa kuona tukio zima
 
Dah mkuu huu uchambuzi balaa yaani sane alimuingilia milner nyuma!!!!!!!!hii sidhani kama inaruhusiwa kisheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…