NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,973
- 1,204
Kajiridhishe ule mpira beki wa Juve hajaugusa ila kampiga kifuani LucasAnyway,
Hebu nijipe muda kidogo nikaiangalie kwa umakini mkuu.
Ila kwa mtizamo wa haraka haraka,
Sikuona Kama kuna contact yoyote ilotokea nyuma ya Vazquez.
Nlichokiona ni kwamba, Vazquez alipoteza balance alipo upokea mpira kifuani
Na pale ndipo beki wa juve, alipouwahi akafanya clearence kifuani kwake kabla ya Vazquez hajafanya maamuzi
Kitu ambacho nakiona ni jambo LA kawaida sana kwny mpira kwa mabeki wengi kufanya clearence za namna ile.
ANYWAY,
Mkuu, NTAITIZAMA TENA KWA UMAKINI ZAIDI MKUU ILI NIJIRIDHISHE.
Kajaribu kupitia Tena, Vasquez alisukumwa, wengi wanalalamika kwamba alisukumwa kidogo (hakuna anayepinga kwamba hakusukumwa), tatizo linakuna hapa, kusukuma mtu ni kosa, kusukuma/kukaba toka nyuma ni kosa na hatari kwa maana kwamba unahatarisha usalama wa player unayemkaba na ikumbukwe opponent analindwa zaidi ndani ya box. Ukiongeza yote hayo kwa vyovyote vile lazima iwe pk, watu wanaendeshwa na hisia wanasahau kwamba hata ingekua katikati ya uwanja ile bado Ni faulo.Anyway,
Hebu nijipe muda kidogo nikaiangalie kwa umakini mkuu.
Ila kwa mtizamo wa haraka haraka,
Sikuona Kama kuna contact yoyote ilotokea nyuma ya Vazquez.
Nlichokiona ni kwamba, Vazquez alipoteza balance alipo upokea mpira kifuani
Na pale ndipo beki wa juve, alipouwahi akafanya clearence kifuani kwake kabla ya Vazquez hajafanya maamuzi
Kitu ambacho nakiona ni jambo LA kawaida sana kwny mpira kwa mabeki wengi kufanya clearence za namna ile.
ANYWAY,
Mkuu, NTAITIZAMA TENA KWA UMAKINI ZAIDI MKUU ILI NIJIRIDHISHE.
Nilipo ona imetolewa penalty nikajua watu hawatatu appriciate kwa sababu ya timeExactly, tatizo kasukuma mchezaji tena toka nyuma.
Nmekuelewa mkuuKajaribu kupitia Tena, Vasquez alisukumwa, wengi wanalalamika kwamba alisukumwa kidogo (hakuna anayepinga kwamba hakusukumwa), tatizo linakuna hapa, kusukuma mtu ni kosa, kusukua/kukaba toka nyuma ni kosa na hatari kwa maana kwamba unahatarisha usalama wa player unayemkaba na ikumbukwe opponent analindwa zaidi ya box. Ukiongeza yote hayo kwa vyovyote vile lazima iwe pk, watu wanaendeshwa na hisia wanasahau kwamba hata ingekua katikati ya uwanja ile bado Ni faulo.
Na hiki ndo kilichotokea jana ndo maana goli la Sane lilikataliwa.
Hakuna pundit hata mmoja mkubwa duniani unayemfahamu anayekataa ile sio pk
Kabisa, I feel for Juve, Gigi especially but hakuna namna ilikua lazima watoke. Wamesumbua mahakama ila wamehukumiwa mwisho wa sikuNilipo ona imetolewa penalty nikajua watu hawatatu appriciate kwa sababu ya time
Nilipo ona Buffon kapewa red nika sema hapa ndio hatuta mshawishi mtu yyte asiye shabki wa madrid.
Ila ilikuwa ni penalty kabsa.
Bado sijaona strong reasons za kusema ile siyo penalt. Usiangalie attention ya wachezaji. Angalia kilichopelekea penalt.Pia,
Twaweza shuhudia hata mpaka Vazquez mwnyw baada ya kuanguka.
hakulalama wala kuiomba ile penalt
Pia hata Rinaldo aliekua pembeni ya Vazquez, hakustuka wala kulalama kupewa penalt.
Kwa maana, twamjua kabisa ni jins gani ronaldo alivyo attention kwny matukio muhimu kama Yale.
Na wala hata Juve nao,
Hawakua na hofu kabisa kama ilistahili kua penalt.
UKIWA KAMA MWANA MICHEZO& MWANA MADRID FAN
Huwezi sherehekea sana ushindi wa Leo,
Ni kumshukuru MUNGU TU kwa kilichotokea, maana lengo limetimia LA kufuzu.
SOMETIMES SIO VEMA KUTANGULIZA MAHABA KWENYE UHALISIA.
WEE MWENYEWE TU, UTAJIKUTA NAFSI INAKUSUTA.
Hii game ya Leo nmeangalia nikiwa bar.Nilipo ona imetolewa penalty nikajua watu hawatatu appriciate kwa sababu ya time
Nilipo ona Buffon kapewa red nika sema hapa ndio hatuta mshawishi mtu yyte asiye shabki wa madrid.
Ila ilikuwa ni penalty kabsa.
Mkuu kwa nini unasema siyo penalt halali.?Hakuna mchambuzi yeyote wa soka duniani akaichambua foul ya Leo tuliyopata penalty nikamuelewa..kikubwa tumebebwa hakuna ubishi na kwenye soka mambo kama haya yapo. This was a big game and referee should be very keen in decision.. Michael Oliver kafeli kwenye kuweka ile penalty, nauhakika tungepita kwa goli zuri tu kama tungeenda 120.
Mi nna clip hapa ninge kutumia ila inagomaHii game ya Leo nmeangalia nikiwa bar.
Na nlkaa distance kias na TV
Ukichanganya na movement na kusimama simama sana kwa walokua front seats wakati wa mzozo wa penalt
Maybe,
Yawezekana sikupata chance ya kuiangalia kwa utulv ile event.
Faulu nyepesi saaana kuamua penalty, lugha nyingine ile ni soft saaaana kama refa makini huwezi toa penaltyMkuu kwa nini unasema siyo penalt halali.?
Mkuu nimeweka video hapo. Mchezaji aliangushwa. Ile ni penalt halaliFaulu nyepesi saaana kuamua penalty, lugha nyingine ile ni soft saaaana kama refa makini huwezi toa penalty
Sure Mkuu, Kiranja wetu amepotea sana, hope atakuwa salama ...., sie tuliendeleze tu..,Salamander I hope all is well with you, umepotea Sana, siku kama ya leo nilitegema uwe umetamalaki humu.
ile penati haikuwa na mawaa. ila as a hater nafurahi wengi watasema ilikuwa ya magumashi, hiyo ina demean ushindi wenuNilipo ona imetolewa penalty nikajua watu hawatatu appriciate kwa sababu ya time
Nilipo ona Buffon kapewa red nika sema hapa ndio hatuta mshawishi mtu yyte asiye shabki wa madrid.
Ila ilikuwa ni penalty kabsa.
Watu wameshaanza Ku hoji uthabiti wa timu za laliga kwenye uefa kama sifa wanazopewa barca na Madrid wanastahili au ni overhype tu.Yah,
Hii game nlkua nkiamin kabisa juve Tutawatoa
Walichoka sana, mistakes katka defence yao zlkua nyng sana.
Na nlijua Red card ilkua inafatia, kitu ambacho kingewatoa kabisa mchezoni
Na ukiongezea na uchovu mkali walokua nao, Tungewafunga goli lolote.
SASA, WALICHOKIAMUA MAREFA HATA HAKIJANIPENDEZA.
Mara nyingi tumekua tukilalama wenzetu wacatalunya kubebwa na waamuzi kwny UEFA wakiwa home ground.
KIUKWELI,
HILI LA LEO LILILOTOKEA PALE BERNABEU,
TUKUBALI TU,
Ukweli unauma, ila kwa hili unabd tu usemwe.
Bila unafiki wala, kutanguliza mahaba mbele.
##NA SISI LEO TUMEPITA KWA MBELEKO##