Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Adui mwombee njaa, kwa jirani haijaa njaa tu bali baa la njaa, kwetu furaha

Madrid Tunabeba tena no doubt. Sioni wa kutuzuia
 
Unasemaje kuhusu mapungufu yaliyopo kwenye defence kesho Ramos hayupo. Mbadala wake Vallejo kaumia. Yaani Casemiro ndio atacheza nafasi ya Ramos. Huoni ni kituko hicho...
Madrid timu kubwa haina akiba ya wachezaji.
 
Barca yenye akiba ya wachezaji ipo wapi?

Ubaya upo wapi mid kucheza beki? Tuna mids lukuki wenye ubora wa juu wataziba nafasi ya Casemiro The Tank kama yeye atacheza CD. Kwa kukukumbusha tu Mascherano alikua mid kabla hajarudi kuwa beki

Nilifurahi zaidi Ramos kupewa card last game ili akose marudiano na awepo semis.

Kesho hata acheze nani tutapita, Juve ni mke wetu tutapiga tu na ikumbukwe ni Bernabeu. Kwa timu zilizobakia hakuna wakutuzuia
 
Barca yenye akiba ya wachezaji iko wapi?
Kesho hata acheze nani tutapita, Juve ni mke wetu tutapiga tu na ikumbukwe ni Bernabeu. Kwa timu zilizobakia hakuna wakutuzuia

Hata Barcadogs walikua wanabwatuka hivo hivo!!!
Look what happened
 
Tukitolewa na Juve nakutumia muamala mpesa. You have my word.

Ukikubali kuolewa kubali kulala bila chupi, Juve akisikia Madrid tu analowa.
 
Adui mwombee njaa, kwa jirani haijaa njaa tu bali baa la njaa, kwetu furaha

Madrid Tunabeba tena no doubt. Sioni wa kutuzuia

Hata Barcelona Walijitangaza Kuwa Ni Unbeaten na Waliamini Kuwa Hakuna Wa Kuwafunga.

Hata Wewe Hukuwahi Kufikiria wala Kuamini Kuwa Roma ana Uwezo Wa Kumfunga 3 - 0 Barcelona..
Wala Hukuwahi Kuwaza Kuwa Roma ana Uwezo Wa Kumtoa Barcelona.

Nakukumbusha tu Kuwa Usije Ukai-Underestimate Timu yoyote Katika #CL hasa kuanzia Hatua Ya Nusu Fainali mpaka Fainali Kwani CL Ni "GAME OF CHANCE".
 
Definitely I can't underestimate Madrid, wengine wote wapo kusumbua tu mahakama ila watahukumiwa. Madrid atawahukumu wote na kuwapa vipigo barabara.

Bora hata semis ambako kutakua na two games ila sio sasa ambapo tayari RM anaongoza 3-0 na Leo game ni Bernabeu. Hii hata dunia ipinduke tunapita. Juve akisikia Madrid analowa
 
Unasemaje kuhusu mapungufu yaliyopo kwenye defence kesho Ramos hayupo. Mbadala wake Vallejo kaumia. Yaani Casemiro ndio atacheza nafasi ya Ramos. Huoni ni kituko hicho...
Madrid timu kubwa haina akiba ya wachezaji.
Ni kweli tuna tatizo kwnye upande wa CD, ila hatuna upungufu wa wachezaji, tunao beki wa kati 4, hawa wanatosha sana, sababu kila game wanacheza wawili, sasa na wengi zaidi ya hapo itakuwa haina maana, ni kuchezea raslimali.,
Vallejo amepona na yupo kwnye kikosi, so ni wakati wa Zidane kuamua amtumie ama laa kutokana na hali yake, hakuna haja ya kumrisk kama hataweza kupambana, kumbuka Juve watakuwa extra motivated wakijua tuna upungufu kwnye idara yetu ya ulinzi, ila ninaamin vijana watacheza poa tu...[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!! [HASHTAG]#AporLa13[/HASHTAG]
 
Definitely I can't underestimate Madrid, wengine wote wapo kusumbua tu mahakama ila watahukumiwa. Madrid atawahukumu wote na kuwapa vipigo barabara.

Bora hata semis ambako kutakua na two games ila sio sasa ambapo tayari RM anaongoza 3-0 na Leo game ni Bernabeu. Hii hata dunia ipinduke tunapita. Juve akisikia Madrid analowa
Muhimu ni vijana wetu kucheza kwa weledi tu na kujaribu ku control game, ikiwezekana Hiyo basi uwezekano wa kuwapiga tena kwetu ni mkubwa sana, yaani tukipata goli tu tumemaliza game.,
 
Mara ya mwisho real Madrid kufungwa UCL ni 10 march 2015 na schalke 04 miaka mitatu iliyopita kwenye 16 bora kwa 4-3 lakini Madrid alipita kwa jumla ya magoli 5-4
 
Unasemaje kuhusu mapungufu yaliyopo kwenye defence kesho Ramos hayupo. Mbadala wake Vallejo kaumia. Yaani Casemiro ndio atacheza nafasi ya Ramos. Huoni ni kituko hicho...
Madrid timu kubwa haina akiba ya wachezaji.
Defense kitu gani bhana, tunaweza pumzisha kikosi chote cha kwanza tukaweka cha pili na bado tukatoboa, mechi iliisha mchezo wa kwanza Turin
 
Unasemaje kuhusu mapungufu yaliyopo kwenye defence kesho Ramos hayupo. Mbadala wake Vallejo kaumia. Yaani Casemiro ndio atacheza nafasi ya Ramos. Huoni ni kituko hicho...
Madrid timu kubwa haina akiba ya wachezaji.
Ikishapigwa ile nyimbo inayoishiaga na maneno "the chaaampioooons" kikosi cha pili kinajitengenezaga automatikali..

Ndo mtu utakuta anapigwa home -away
 
IMG_20180411_123239_153.jpg
aisee Juve ana bahati mbaya...naona kama vile list ya timu za mwisho kufungwa na Ronaldo itakuwa Juve 2
Juve 3
 
Back
Top Bottom