Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Vipi wakuu, bado mnayo ile ndoto yenu ya penaldo kua mfungaji bora Laliga?
 
Vipi wakuu, bado mnayo ile ndoto yenu ya penaldo kua mfungaji bora Laliga?
Kwan umepatwa na shaka gani juu ya hilo?? kisa messi kafunga hatrik??

Alitangulia kwa zaidi ya goli 20 ila upepo ukachange ndani ya mechi 9 tu

Kwaiyo tuliza mshono
 
Kwan umepatwa na shaka gani juu ya hilo?? kisa messi kafunga hatrik??

Alitangulia kwa zaidi ya goli 20 ila upepo ukachange ndani ya mechi 9 tu

Kwaiyo tuliza mshono
Now repeat that without crying!

Nimeichukia Barcelona Kweli Kweli! Lakini Leo Muna Options Mbili:-

1) Mfungeni Atletico ili mumpe Ubingwa Barca.
2) Au Mufungwe na Atletico ili musimpe Ubingwa Barca Kwa Mikono yenu.
 
Vipi wakuu, bado mnayo ile ndoto yenu ya penaldo kua mfungaji bora Laliga?

IMG_20180128_110540.jpg
 
Nimependa sana Vijana wetu wanavyocheza, wanapambana kweli kweli., ni mwamba wa goli tu umekuwa mhimili Mkuu kwa Atletico Leo, saa hiz ungekuta tunazungumza mambo mengine., hope jitihada za vijana wetu zitalipwa na goli kipnd cha pili...[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
 
HT:Timu imecheza vizuri haswa eneo la nyuma wanaonekana wana nidhamu sana,hapa mbele kazi nzuri imefanyika ila nyingi zinaishia miguuni mwa mabeki wa atletico madrid...nafikiri kuna haja yakubadili mambo kidogo....Isco aingie kwa sababu anaweza kupunguza.
 
Back
Top Bottom