Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,360
Atletico wamesawazisha.., duu wametukosa tena hapa loo
Zidane anawafikiria Juventus zaidi.. si unajua siku Hiyo Casemiro anaweza kuwa CB wetu kwa siku Hiyo!? So tutahitaji kufunga ili tusonge mbeleKhaaaaa!hii sub vipi tena!??
Kabisa, vijana walicheza vizur sana, na walijituma kweli kweli., tatizo ni hatujapata mtu wa kufunga wakati Cristiano hayupo., Benzema amekuwa ni zaidi ya Mzigo kwa kweli, atafutiwe mbadala wake tu atembeeIla Madrid now tupo kwenye form nzuri
Mbadala wake alikuwa Alvaro Morata, sema Zizzo nae utaifa utamponza bhanaaKabisa, vijana walicheza vizur sana, na walijituma kweli kweli., tatizo ni hatujapata mtu wa kufunga wakati Cristiano hayupo., Benzema amekuwa ni zaidi ya Mzigo kwa kweli, atafutiwe mbadala wake tu atembee
Hahaaa! Acha uboya mkuu! Who's Greizmann by the way?!Greizman anawasalimia
Amekukuna mda si mrefu boss umemsahau?Hahaaa! Acha uboya mkuu! Who's Greizman by the way?!





Morata hawezi kucheza pamoja na ronaldoMbadala wake alikuwa Alvaro Morata, sema Zizzo nae utaifa utamponza bhanaa
Kuondoka kwa Morata siwezi kumlaumu Zidane, mwenyew hakutaka vijana wake waondoke, ila kuna muda unakuwa huna namna, mfano kesi ya James, pia Morata aliomba kuondoka mwenyew, na club ilimruhusu kwa kuwa kulikuwepo na mpango wa kumnunua Mbape, sema ndio hivyo demand ya Dogo ikasababisha club kupiga ule mpango chini., ndio hapo sasa inabid Benzema asaidiane na Borja, Kiukweli kabisa hakuna akiyekuwa anaamini kama Benzema angekuja kuwa garasa namna hii., hakuwa mzuri kihivyo ila sio kwa alivyo sasa., Ninadhan hata club imekuwa surprised na form ya jamaa.Mbadala wake alikuwa Alvaro Morata, sema Zizzo nae utaifa utamponza bhanaa
Kuondoka kwa Morata siwezi kumlaumu Zidane, mwenyew hakutaka vijana wake waondoke, ila kuna muda unakuwa huna namna, mfano kesi ya James, pia Morata aliomba kuondoka mwenyew, na club ilimruhusu kwa kuwa kulikuwepo na mpango wa kumnunua Mbape, sema ndio hivyo demand ya Dogo ikasababisha club kupiga ule mpango chini., ndio hapo sasa inabid Benzema asaidiane na Borja, Kiukweli kabisa hakuna akiyekuwa anaamini kama Benzema angekuja kuwa garasa namna hii., hakuwa mzuri kihivyo ila sio kwa alivyo sasa., Ninadhan hata club imekuwa surprised na form ya jamaa.
Ninadhan club imeifunza kitu.,msimu ujao mapema tu inabid tuwe tumeshapata striker.,