Hawa wajamaa wanakuwaga wagum sana kweny mtoano, na safari hii ninataka waje mentality Hiyo Hiyo kuwa huwa wanatutoa kwenye game za mtoano ili tuwanyooshe vizur!! Nina uhakika na hiki kigingi tutakivuka tena....,[HASHTAG]#Aporla13[/HASHTAG]., [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]Here we go, tumepewa Juventus. First leg nyumbani kwao, second leg Bernabéu. Nakumbuka waliwahi kutuoa UEFA kwenye hatua ya robo fainali. Lakini sasa hivi patachimbika
Tunaanza na Bibi Kizee kwanza, then waje hao wengine.., huu mwendo ni mpaka final..Sina shaka na hamasa ya kikosi tukiwa UEFA, yeyote ajaye ajue ni halali yetu.
Saa 4 dk45 usiku (EAT)Mechi ya leo saa ngapi?
Aaah
Girona sina shaka nao. leo mnawekwa kwenye nafasi ya nne rasmi.Aaah
Uliishia kwa atletico huko huko
Huku uwezi
Hamna hiyooo braza.Girona sina shaka nao. leo mnawekwa kwenye nafasi ya nne rasmi.
Halafu haters waje hapa na excuse zao maana sisi ndo mabingwa pekee tunaowatoa vigogo vilivyodhaniwa vimeshindikana.Tunaanza na Bibi Kizee kwanza, then waje hao wengine.., huu mwendo ni mpaka final..