Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

HALF TIME: PSG 0-0 Real Madrid (1-3 agg) [HASHTAG]#APorLa13[/HASHTAG]

DXoeHQZWkAAMvLb.jpg
 
HT:dakika 35 za kwanza tumecheza vyema kwa kuwakabia juu ila dakika za mwisho hapa tukakosa nidhamu...hawa jamaa wametukamata kiungo na hii inapelekea kova kupiga kazi kubwa sana....kimsingi hapa mbele zile nafasi chache za counter tunazopata hatuzitumii vyema...tunaishia kupiga miguu kwa adui...benzema ni mzuri kupewa pasi ila siyo mzuri kutoa pasi....hapa mimi ningemtoa Ansensio nimuingize Isco...kisha nimtoe Luca aingie Bale...maana ukiangalia hawa jamaa wanapanda afu wanarudi wote wanne nyuma fast sana....nafikir inahitaji mtu wakukimbiza nakupunguza katikati hapo...
 
We are playing defensively very well, I think we need to do some counter attack to make trouble for PSG, they are playing without having tension
 
HT:dakika 35 za kwanza tumecheza vyema kwa kuwakabia juu ila dakika za mwisho hapa tukakosa nidhamu...hawa jamaa wametukamata kiungo na hii inapelekea kova kupiga kazi kubwa sana....kimsingi hapa mbele zile nafasi chache za counter tunazopata hatuzitumii vyema...tunaishia kupiga miguu kwa adui...benzema ni mzuri kupewa pasi ila siyo mzuri kutoa pasi....hapa mimi ningemtoa Ansensio nimuingize Isco...kisha nimtoe Luca aingie Bale...maana ukiangalia hawa jamaa wanapanda afu wanarudi wote wanne nyuma fast sana....nafikir inahitaji mtu wakukimbiza nakupunguza katikati hapo...

Tall, huyu Lucas Vazquez muache hapo hapo alipo
 
PSG 0-0 RMA (1-3)
SECOND HALF IS UNDERWAY IN PARIS !!
TOGETHER FOR THE THIRTEENTH !!
VAMOS REAL !!
 
Back
Top Bottom