Namuhi
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,068
- 1,103
Na ni kuwapiga bila huruma waache bangi zaoPSG fans wanawafanyia fujo wachezaji wetu Hotelini huko Paris. Inawezekana wakafanya hila hata kwenye stadium leo. Dawa yao leo ni kuwatandika wawe nje ya mashindano wapate adabu.