Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #35,521
SuperNAVASman!
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Taratiibu anavuta watu mashatiRonaldo ana maajabu yake jamani kitakachotokea end of the season watu hawataamini.
mkuu una hesabu vzur? bado 6 tuufungaji bora wa la liga asahau
King kashaweka mawili huko dakka ya 45.Ronaldo ana maajabu yake jamani kitakachotokea end of the season watu hawataamini.
Alifanya kumpa morale na confidence wenzie, sababu kwa zile kosa kosa zake asipopata msaada wa karibu anaweza akapotea mazima., tunahitaji kila mchezaji wetu awe katika kiwango bora na morale ya kutosha kwenye game dhidi ya PSG., ndio maana CR7 anajaribu kuwakumbusha mashibiki kuwa huu ni muda wa kushangilia tu ili vijana wapate nguvu ya kuwaondoa PSG ..Ronaldo kaikataa hat trick hivi hivi yaan
Jana kaonyesha maturity, Captain anatakiwa kua hivyoAlifanya kumpa morale na confidence wenzie, sababu kwa zile kosa kosa zake asipopata msaada wa karibu anaweza akapotea mazima., tunahitaji kila mchezaji wetu awe katika kiwango bora na morale ya kutosha kwenye game dhidi ya PSG., ndio maana CR7 anajaribu kuwakumbusha mashibiki kuwa huu ni muda wa kushangilia tu ili vijana wapate nguvu ya kuwaondoa PSG ..