Mkuu tembelea kidogo na kule kwa wapinzani wako mana tumekukumbukaSijui leo tutashinda kama majuzi kubabake!!!
CR7 hata kuwepo ila uweoo wa Asensio mimi na iman kubwa sana tunaibuka na goli si chini ya tatu japo hawa waka catalunya wanataka oia kudemostrate kuhusu wafubgwa wao wataifanya hii match kama display na watataka washinde. Tutashinda na hakika kikosi kiko sawa na bale na asensio wana uwezo wa kufanya counter nzuri kama sehemu ya kati watazitegebeza hizo nafasi. We wi win hala madrid halla madridista.

Game ya jana ilikuwa ovyo sana, sikufanikiwa kuangalia kipnd cha kwanza, lakini kipindi cha pili vijana hawakucheza kiteam kabisa., yaani utadhani hawajawahi kufanya mazoezi pamoja kabisa., Kovacic na mwenzie Llorente walikuwa hawasomani kabisa, ukija kwenye full backs wetu ambao mara nyingi huwa wanasaidia mashabulizi, Hiyo kitu hakuwepo jana., yaani kiukweli sikuona dalili ya kushinda ile game, japokuwa sikutarajia kufungwa pia, angalau droo ingekuwa poa tu.,Real Madrid did not show any intention to win this game.
Kwa selection aliyoifanya siwezi kumlaumu, ila ni lazima tukubaliane kuwa Kikosi chetu cha pili ni cha kawaida sana, msimu uliopita tulienda hapo hapo kwa Espanyol na Team B, tukawapiga mbili bila., this time mambo yamebadilika, tuwavumilie tu labda msimu ujao wanaweza waka improve.Real Madrid did not show any intention to win this game.
Game ya jana ilikuwa ovyo sana, sikufanikiwa kuangalia kipnd cha kwanza, lakini kipindi cha pili vijana hawakucheza kiteam kabisa., yaani utadhani hawajawahi kufanya mazoezi pamoja kabisa., Kovacic na mwenzie Llorente walikuwa hawasomani kabisa, ukija kwenye full backs wetu ambao mara nyingi huwa wanasaidia mashabulizi, Hiyo kitu hakuwepo jana., yaani kiukweli sikuona dalili ya kushinda ile game, japokuwa sikutarajia kufungwa pia, angalau droo ingekuwa poa tu.,