Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #35,241
Ex- Real Madrid midfielder Illaramendi scores for Sociedad.
It's Real Madrid 5-2 Real Sociedad now.
It's Real Madrid 5-2 Real Sociedad now.
Bado marking ya back line yetu ni tatizo kubwa, Dani na yeye anajisahau siku hizi., goli la kwanza alikuwa out of position kabisa, sikuelewa ni nin kilimtokea, ama kwa vile Vasquez alikuwa anarudi sana akajishau kuwa jamaa amshatoka!?Real Soceided pulled another one, 5-2
Msimu uishe tu tupate foward mwingine, Benzema amekuwa kama akina Boko tu, ninaona Perez sasa hiv atakubali kumpiga bei Safar hii., sio kwa kukosa kule.,
Na uvivu umechangia man, jamaa anajua ila ni mvivu na hapendikujituma,Benzema kazeeka mapema sana.
ufungaji bora wa la liga asahauNaona Ronaldo akianza kumnyatia Messi ufungaji bora huyu mtu ana maajabu yake
Mark my words " Ronaldo ana maajabu yakeufungaji bora wa la liga asahau
One good game, he's already the magician!Mark my words " Ronaldo ana maajabu yake