HAKUNAMATATA
JF-Expert Member
- Jun 29, 2017
- 1,006
- 2,289
Mkuu beki zetu tutazilaumu tu bure, kama strikers hawafungi tegemea kufungwa ama kudraw kama ambavyo inatutokea sasa.
Marcelo kapiga krosi zaidi ya 4 lakini wafungaji hakuna, Marcelo kapiga shot on target moja nzuri sana.
Tunaona Man city hawana clean sheets nyingi lakini kwa kua strikers wao wanafunga, goli wanazofungwa hata hazionekani

Tumeliwa kichwa Tena. Forwards na Marcelo wameisha vibaya, hawafai kuwa starters labda kuingia dakika za majeruhi.
Hapa Perez avute Neymar na world class players wengine wawili watatu. PSG atatuvua nguo UEFA na mwakani tunaweza isikia UEFA kwenye bomba tu