Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
Kuza makalio tu mkuuWin or lose I'm Madridsta
Kuza makalio tu mkuuWin or lose I'm Madridsta
Mkuu za mwaka mpya ni njema kabsa na tunashukuru kwa kuupokea japo tuaendelea kuupokea vizuri zaidiHabari ya siku mkuu? Heri ya mwaka mpya pia. Naona kule kwako ni neema tu. King ni mnyama mkatili.
Ujanja janja wenu wa penalty umeshapatiwa dawaMimi nashauri ka vipi Uchukue filimbi bas
Urithi wakubarikiwa ni nini?w-ow-oWin or lose I'm Madridsta
Maneno haya ya Zidane yanatucost
tuongee mpira act like a manKuza makalio tu mkuu
Sawa mkuu.Mkuu, mi sina demu. Mimi nina wife, the mother of my children. Heshima kitu cha bure ndugu.
Maneno haya ya Zidane yanatucost
Napingana na wewe, kwa hali tuliyonayo ni muhimu kuvunja bank kununua wawili walio kwenye form kuja kuokoa jahazi, tatizo kubwa timu haifungi inawavuruga hata mabeki.He's affraid to spend money and buy a flop. I'm not a fan of Mourinho but sometimes I respect his decisions, that guy doesn't care, anybody can sit on the bench.
Ni bora kununua mchezaji aje aflop kuliko kutonunua kabsaa huku tukitegemea sub za kina Lucas eti ndio zitusaidie.He's affraid to spend money and buy a flop. I'm not a fan of Mourinho but sometimes I respect his decisions, that guy doesn't care, anybody can sit on the bench.
Acha unafki wew,,uPSG huo uutolee wap umeanza kuishabkia linsisi PSG tunawasoma tu,hatuna haraka