Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Icardi & Kane kwenye rada za Real Madrid


Mauro Icardi na Harry Kane ni wachezaji wanaopewa nafasi kubwa kusajiliwa na Real Madrid ili kuimarisha safu yao ya mashambulizi, kimeripoti Diario Gol.
Icardi wa Inter anatarajiwa kusajiliwa uhamisho wa Januari, wakati Kane akiwekewa malengo ya majira ya joto.
 
Marcelo amekiri kuwa Real Madrid wana huzuni nyingi baada ya kuachwa pointi 16 na Barcelona inayoongaza msimamo wa La Liga.
Mabingwa watetezi Madrid msimu wao umeendelea kuwa mbaya zaidi baada ya kushikiliwa kwa sare ya 2-2 dhidi ya Celta Vigo.
Gareth Bale alifunga mara mbili kusawazisha goli la Dniel Wass na kuipa Madrid goli la kuongoza kabla ya mapumziko.
Lakini bado hali haikuwa nzuri kwa Madrid kwani Celta walisawazisha dakika ya 82 kupitia Maxi Gomez baada ya penalti ya Iago Aspas kuokolewa dakika 10 kabla.

Tuna huzuni kwani tumezama:, alisema Marcelo baada ya mchezo.
"Tunajaribu kujitoa kwenye fedheha hii, na tunajitahidi kufanya hivyo kwa sababu hatuipendi hii hali.
"Ni vigumu kwa sababu kadiri unavyotoa sare nyingi au kupoteza ndivyo presha inavyoongezeka. Hatuwezi kufanya chochote.
"Tunafanya kile tunachoweza, tunajitahidi kucheza soka zuri na kuutembeza mpira, lakini mambo hayatuendei vizuri."

Madrid, ambao hawajashinda mechi nne za ugenini La Liga, wanashika nafasi ya nne kwenye ligi, nyuma ya Atletico Madrid na Valencia.
 
Matchday: Copa del Rey clash against Numancia

DTLas9xWAAA-Sbx.jpg
 
Throwback: 23 years ago, Real Madrid defeated FC Barcelona 5-0 and Luis Enrique was the one who scored Madrid's fourth goal.

26220286_1848326981858720_1247208762507045901_n.jpg
 
Preparations for Numancia game yesterday was without Varane and Modric. There was some delay to training and reports are it was due to 'crisis' talks.

26230595_1848711531820265_1250558910277011968_n.jpg
 
Zidane : "Until the end with my Players" [HASHTAG]#VAMOSZIZOU[/HASHTAG]
1f44a.png
1f44a.png


26196482_1848784338479651_8895925750907131417_n.jpg
 
Zizou's Pre-Match Presser:

Some real heart talk must read!

"The plan is to work and work even more because it’s not enough. We’ll continue working more than ever."

"I believe in my squad. They are my values and I will defend them until the end. I believe in what I do and will keep going until the end, until they change me."

Unity
"We’re all in the same boat and nobody is going to get off of it. It's everyone's fault, I'm the first one."

The match against Numancia
"We’ve got a return match and we want to finish the tie well. We want to play well and get through to the next round. We have to try to keep a clean sheet, score and have a good game. That’s it".

Reinforcements
"I don’t need anyone and that's that. I don’t want anybody. We have a squad, we started with them and I believe in my players."

"There’s everything to play for and we’ll see what happens at the end of the season, which is when things are analysed".

"I know that one day this job will be over but I’ll do my work at and I believe in the work we’re doing. No one is going to take away my desire to continue working hard".

"It’s not something that is physical or mental. It’s a bit of everything. We must continue and be stronger. There's no other option".



26196191_1849004948457590_2912520658979148454_n.jpg
 
Daniel Wass on how Celta Vigo scored against Real Madrid: "We knew that Marcelo did not always bother to track back & we would use that as an advantage, which we did great."

Sooner or later every other team will figure out our flaws if we remain to use the same tactics every game. Here's hoping this past game was an eye opener for Zidane and co and they can change the way they play because honestly we've become predictable for these teams. And they are easily reading our plays.

These teams have watched us play several times on video. They have all studied Real Madrid very closely and now know our playing style, the way we operate and execute our gameplay strategy. We must overcome this by developing new changes that will leave the opposition confused.
 
Tetesi

Mkufunzi wa Real Madrid Zinedine Zidane anasema kuwa hataki kuwasajili wachezaji wapya katika dirisha la uhamisho licha ya kuwa nyuma ya viongozi wa ligi ya La Liga Barcelona.. (Reuters)
 
Ten changes from Sunday's clash in Vigo for tonight's cup match on tonight starting XI to face Numancia. [HASHTAG]#VAMOS[/HASHTAG]! Kiko; Carvajal, Nacho, Vallejo, Theo Hernández; kovačić, Marcos Llorente, ceballos; Lucas Vázquez, Mayoral, asensio.
 
Kick off at the Bernabéu. Real Madrid in all white, and the captain is Nacho Fernandez today.
 
Back
Top Bottom