Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #33,921
Great start by Real Madrid. They are controlling the game brilliantly.
Naona hatuna mipango ya maana ya kusaka goli. Weka B.Mayoral,Asensio muache Cr7 namba 9 pale tutatoka na tatu za maana.
Sawa, lakini tulikuwa moto karibu wote kipindi kile tofauti na sasa tunasua sua. Halafu style ya krosi imeshapatiwa dawa.Asensio majeruhi. Lakini hii lineup ndio ilimpiga Juve UCL final