Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Sasa hivi kuangalia Match ya Real Madrid imekuwa uncertain.....worse performance today
 
Not spending big money on a dedicated striker is surely going to cost us this season. I'm not happy with Ronaldo and Benzema duo, we have lost the trust and the willingness to snatch the glory which we had last season
1f494.png
 
It's been just 10 league games and we are already trailing by 8 points. But I'll never confuse a single defeat with a final defeat. And just because we're losing, doesn't mean we're lost.

[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Shukuruni Mungu msimu uliopita L enrike aliwapa vikombe viwili kwa maamuzi yake ya kindezi.

Na niliwaambia humu,gape la point litakuwa hilihili ,linapungua kidogo ,linaongeza
 
sija ona sababu ya kuanza kumlaumu Zizu hii ni football kila kitu kina weza tokea
 
Morata alitusaidia sana Siku mbaya mbaya kama hizi hata James naye hakupaswa kuondoka nyakati hizi.
Kuwauza sio issue kutosajili replacement ya wachezaji ambao walifunga magoli 30 msimu uliopita ni kosa kubwa alilofanya Zidane kipindi ambacho CR7 hayuko kwenye form Morata na James walikuwa wanaisadia sana timu
 
Vp Wakuu, overall performance ya team ilikuwaje? Ni kwamba hao Girona walituzidi kiasi hicho ama ni vijana wetu tu walikosa umakini!
Japokuwa Bado ligi ni ndefu, ila hili gap tunalolitengeneza linaweza kutuletea shida huko mbele, muhimu ni Zizou afanyie kazi mapungufu yaliyojitokeza.
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
 
Zizu kaacha Morata na James waondoke kawaacha kina Benz na Vasquez. Smh
 
We might lose a few battles along the way, but never the course. One of the qualities our club is built on, is its strongest character. The season is still young, we had a grand opening...we will have a grand closing. Hasta el final.
 
Yaan huu msimu kuchukua laliga ni 10% out off 100% maana laliga sio km epl kwamba mtu ata drop point kwa wikiendi kutoka kwa kibonde en ukiangalia barca kaisha cheza some of big matches lik atm at bilbao na ss bado zaidi ya valencia na uwezekano wa kumfunga barca away en home for six point ni ngumu ...
 
Zizu kaacha Morata na James waondoke kawaacha kina Benz na Vasquez. Smh
Zizou hakutaka kijana wake hata mmoja aondoke, alisisitiza sana hilo, ila kuwashikilia hao wajamaa against their wish ilikuwa ni kuleta mtafaruku ndani ya club, James alitoka kwa mkopo so atarudi, Morata club ilikaza sana ila mwishowe ikabid tumwachie, safari bado ni ndefu tutakaa sawa tu., Ngoja kwanza tuone hapo Wembely tutaenda kufanya nin.
[HASHTAG]#Hastaelfinal[/HASHTAG], #HalaMadrid¡¡
 
Back
Top Bottom