Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tot wamejitahidi sana leo. Inabidi tubadilike kwenye formation kwa mechi kama hizi.
 
Naona leo Marcelo hakuwa kwenye standard perfomance yake,Ramos alikua anafanya kazi ya ziada kushuka kumusaidia kukaba.
 
Kwa nn zidane asibadili mbinu , mipira yake ya krosi mm ishanichosha tukiendelea hivi walahi hatufiki mbali tutakuja laumu , piga basi tafuta penetration weka mzgo
 
spurs walisoma mchezo sissoko ni mkabaji,aurie ni mkabaji halafu hawa wote wana speed ya ajabu kwa hiyo ilikuwa sio rahisi macelo kupanda ovyo benzema anakaa kwa sababu ya rais wa timu lakini hakuna kitu kabisa pia ukiona nyani mzee amekwepa mishale mingi LORENTE ameonesha hilo
 
Man, Spurs surprisingly started with 5 difenders formation. Timu zote sasa hivi zimeshasoma mchezo wetu, wanatuwekea ukuta wa kufa mtu.

Spurs hawakutuzuia pamoja na hiyo 5-men defense line, ni kuwa tulishindwa tu kutumia nafasi nyingi za wazi tulizopata. Kutokuwa na ulazima wa kushinda na aina ya mchezo waliokuja nao Spurs(kutafuta sare) ndio vilituponza tukacheza kama kutimiza wajibu tu. Wengi wanasahau sana kuwa hii timu inacheza kadiri ya mchezo na opponent.

Naomba sana tumalize group tukiwa nafasi ya pili ili round ya 16 bora tukutane na Man City au PSG, ndio watu wataijua hii timu iko vipi ikitaka kitu.
 
Saa zingine unaongea point,Spurs were just lucky but unaomba umalize wa pili hili ukutane na PSG au CITY hapo you just pulling our legs
 
Spurs hawakutuzuia pamoja na hiyo 5-men defense line, ni kuwa tulishindwa tu kutumia nafasi nyingi za wazi tulizopata. Kutokuwa na ulazima wa kushinda na aina ya mchezo waliokuja nao Spurs(kutafuta sare) ndio vilituponza tukacheza kama kutimiza wajibu tu. Wengi wanasahau sana kuwa hii timu inacheza kadiri ya mchezo na opponent.

Naomba sana tumalize group tukiwa nafasi ya pili ili round ya 16 bora tukutane na Man City au PSG, ndio watu wataijua hii timu iko vipi ikitaka kitu.
hayo maombi yako yapite mbali
 
Florentino Perez: I cannot imagine Spain without Catalonia or LaLiga without Barcelona

15083160709250.jpg

Real Madrid president Florentino Perez is sure that Barcelona will stay in LaLiga and there will be no independence for Catalonia.

It comes at a time of heightened tension in the region of Catalonia over an attempted independence referendum that was backed by Barcelona defefender Gerard Pique and led to question marks over his future with the Spain national team.

"I think that the best players should be in the national team and that they are united with a good atmosphere," said Perez.

"To tell you the truth that is what I've seen over the past few games.

"I cannot imagine a Spain without Catalonia and LaLiga without Barcelona.

Maybe it is the time though to take a look at our model."
Meanwhile, Perez believes it is understandable that Real have not been able to keep up the blistering start to the season.

"Maybe we concentrated too much on winning the European trophies and you relax a bit which leads to a team beating you at Bernabeu," he claimed.

"No one likes that but it is not possible to be playing every week, Wednesday and Sunday at top speed."

Perez is happy with the work done by Zinedine Zidane while he also believes that Cristiano Ronaldo is relaxed regarding an investigation into his tax affairs.

"Zidane has transformed Real Madrid. Sometimes as it is with football, you appoint a coach and it doesn't work out but Zidane has been fantastic," he stated.

"Ronaldo is calm because he is someone who is focused on something: his profession.

"He has his concience clear having not done anything and no reason to hide. He has dedicated everything to win Ballon d'Ors.
 
Ni woga wako tu. Hakuna timu sasa inaweza kusimama na Real Madrid inapoamua kucheza, wala wasi sina. Besides, tulimaliza msimu uliopta nafasi ya pili na tukavivuka vigongo kwa urahisi tu, so haitatushtua sana.
kwa moto walio nao PSG kwa sasa em tuwe na subira kidogo japo uko semifinals lkn kwenye round of 32 mkuu dua baya hilo
 
kwa moto walio nao PSG kwa sasa em tuwe na subira kidogo japo uko semifinals lkn kwenye round of 32 mkuu dua baya hilo

PSG hawana moto huo, we're still the team to beat. Na ili kuwa mabingwa lazima tujiamini kucheza na yoyote muda wowote. Hata Man United na Barca walikuwa kwenye kiwango kizuri zaidi yetu wakati tunakutana nao mwanzo wa msimu, lakini uliona kilitokea nini.
 
anyway ila kwa sasa naiona team yetu bado haipo kwenye form yake kabisa tuna pata ushindi kwa taabu, team kma Spurs walikua wa kula 4 ila ndo ivo tena
 
anyway ila kwa sasa naiona team yetu bado haipo kwenye form yake kabisa tuna pata ushindi kwa taabu, team kma Spurs walikua wa kula 4 ila ndo ivo tena
Mkuu saa nyingine haya matokeo yanatokana na team unayocheza nayo, kwa mfano, kama tukicheza na PSG hawataweka mabeki watano, ila na wao watataka kushambulia, hapo nipo huwa tunapo geuza watu, ila ukicheza na team inayotafuta sare hiyo game inakuwa ngum kweli, sababu muda wote wanawaza kujilinda zaidi ya kushinda.
 
PSG hawana moto huo, we're still the team to beat. Na ili kuwa mabingwa lazima tujiamini kucheza na yoyote muda wowote. Hata Man United na Barca walikuwa kwenye kiwango kizuri zaidi yetu wakati tunakutana nao mwanzo wa msimu, lakini uliona kilitokea nini.
Kweli kabisa Mkuu, ninakumbuka wakati tunachukua La Undecima, maneno yalikuwa mengi sana, wengi walidai kuwa tulipendelewa, kuonyesha kuwa tulistahili this time around tukakutana na hao wakali wao, tukawavuruga kuliko wale wabovu.,
So sioni shida kukutana na yeyote kwasasa, kwanza tukikutana nao hawachelewi kuwaita Vibonde.
 
Mkuu saa nyingine haya matokeo yanatokana na team unayocheza nayo, kwa mfano, kama tukicheza na PSG hawataweka mabeki watano, ila na wao watataka kushambulia, hapo nipo huwa tunapo geuza watu, ila ukicheza na team inayotafuta sare hiyo game inakuwa ngum kweli, sababu muda wote wanawaza kujilinda zaidi ya kushinda.

Exactly my point. Madrid inacheza na kujiongeza accordingly. Tumecheza games 3 kati ya 4 za mwisho na barca tukiwa na wachezaji pungufu na bado tuliwaburuza kuliko hata tulivyokuwa kamili. Spurs hawakuja kushindana kabisa, na ndio maana tuka-relax na kupunguza umakini at times.
 
Back
Top Bottom