Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
It's another European night for the boys. Facing another giant at home. A por la decima.
Kweli vijana waliwanyoosha, sio kwa kipigo hicho, hope vijana wataendelea na moto huu huu.,This is the kind of thing we often do to Barcelona, not CSKA. Damn!
![]()
Sasa haya majeruhi yamekuwa ni shida sasa, ila ngoja vijana na wenyew wapate nafasi, Hapo ninamuona Moha golini game ya Kombe la Mfalme.,Moha Ramos will be Real Madrid's 2nd goalie for a couple of games now that Keylor is injured.
![]()
Sasa haya majeruhi yamekuwa ni shida sasa, ila ngoja vijana na wenyew wapate nafasi, Hapo ninamuona Moha golini game ya Kombe la Mfalme.,
Kweli vijana waliwanyoosha, sio kwa kipigo hicho, hope vijana wataendelea na moto huu huu.,
Hapo kidogo machale yanahitajika Mkuu, sababu akizingua tena na huyu inamaana tutabaki na hawa vijana wa Castilla golini., ngoja tusubiri tu busara za Zizou.,Zizou anaweza kumpanga Kiko bado kumpa match sharpness.
Jamaa akirudi, alafu bado huu moto vijana wanao tembea nao, basi wapinzani itabid wajipange sana,.Hapo Sergio bado hajarudi kutoka majeruhi, itakuwa balaa.