Game ipo poa tu, kama kawaida yetu kila game tunabadilika, sema kama tuna tatizo pale mbele, CR7 na Benz hawana mtu wa kuwasupport, Isco amekuwa akicheza deep ama pembeni, so tunashindwa kutengeneza real threat kwa ngome ya Upinzani, hope ZIDANE ataliona hili na kulifanyia kazi.