Namuhi
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,068
- 1,103
Benzema kakuchania jamvi.at least tume draw, nme chana mkeka
Benzema kakuchania jamvi.at least tume draw, nme chana mkeka
Huyu jamaa siku hizi mzinguaji konoma , alafu zidane nae anampenda sana cjui hata kwa nnHizi chances alizokosa Benzema hata Okwi hakuachi zile
____________
%Hi I draw imekuwa funzo kwetu,tunahitaj mcheza type ya aubemeyang
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa linaboa sana jana kakosa mabao kizembe sana bora yule jamaa arudi kwa dizain hii lakini January inabidi tuingie sokoni.We need young boys there, Benzema kazeeka mapema, game moja anapiga vizuri nane anaharibu
madrid msimu huu mna sare 5 vipigo 6