Bombardear
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 241
- 193
bikra imeondolewa val2
Naona kamuacha kipa anashangaa tena hapa .Asensio ana tabia mbaya sana, anapenda sana kuwaacha makipa wakishangaa wasijue cha kufanya hahah.😀
Sjui kwann zidane anampenda huyu jamaa kiac hikiBenzema angekua hazingui tungeenda hii half time tukiwa na goli 3 kibindoni
Hakuna mchezaji naemchukia hapa madrid kam huyu jamaa ningekua kocha ningeuza hata kwa mkopo afu ela yangu nachukua kidogo kidogo sheetBenzema katika ubora wake